By   #afri nature
Sun, 06-Nov-2022, 12:52

Event Details:

Date And Time:
10-12-2022 9:30 AM to 11-12-2022 11:22 PM

Siku ya Milima kimataifa 11 Disemba:

Katika kuhakikisha tunasaidia serikali na umoja wa mataifa katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi, shirika la lisilo la kiserikali la Afri Nature Organization (ANO) kwa kushirikiana na  Wadau wa mazingira  tumeamua kuadhimisha siku ya milima duniani inayoadhimishwa duniani kote siku ya tarehe 11 disemba kila mwaka, kwa kutoa elimu kwa wananchi zaidi ya mia (100) wanaoka pembezoni mwa milima hiyo ya namna gani wanaweza kuendesha shughuli zao kwenye maeneo waliyoruhusiwa bila kuendelea kuleta athari kubwa kwenye mlima huo Pamoja na kuelimisho madhara makubwa ya moto kwenye mlima huo.

Siku ya milima duniani mwaka huu inakauli mbiu isemayo “women move mountain” wanawake wamepewa kipao mbele kwenye kupambania na kulinda mazingira na misitu milimani hii ni kwa sababu wanawake wamekuwa ni waanga na washiriki wa kubwa wa matumizi ya shughuli mbalimbali za kibinadamu kwenye misitu milimani, hivyo pia wanawake wanapewa nafasi kubwa ya kuweza kudhibiti athari hasi za mazingira milimani ikiwa watawezeshwa kwa kupatiwa elimu ya mara kwa mara ya namna bora ya kufanya shughuli za kibinaadamu kwenye misitu na uoto uliopo milimani.

Event Location:

TAGS:

#post

SHARE VIA :

This site was designed with Websites.co.in - Website Builder

WhatsApp Google Map
Enquire Now
×

Leave Your Message

If you have any questions about the products/services we provide simply use the form below.

Safety and Abuse Reporting

Thanks for being awesome!

We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!

Have a great day!

Are you sure you want to report abuse against this website?

Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support

;